mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu hakuna kosa lisilo na dhamanaOK. Aliwahi kujipeleka Central na mawakili karibia 10 wakiwemo wazungu. Bila shaka ana wanasheria bora kabisa upande wake. Sheria basi tuiache ikereze tu kwa sababu yenyewe hukereza kote kote. Ni high profile case na bila shaka haki itatendeka siyo kama masikini wanaolimwa mvua 10+ kwa kesi ya kuiba kuku!
Labda mauwaji sasa kuna kauli ambayo si rafiki kwa ustawi wa sheria nchi hii
Maagizo kutoka juu