Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unasubiri maji kupanda mlima
Siasa ya visasiNimekupata mkuu. Magerezani huko kuna watu wanasota wengine kwa kesi ambazo hazina hata kichwa wala miguu.
Anakabiliwa na kesi gani ambayo imemfanya wamng'ang'anie namna hii?
Ninazozijua ni kuhujumu uchumi na kua na uraia wa nchi mbili,japo zipo 4
Mimi natoa likes kwa anayenipa likes,hiyo ndiyo rule number one from my side.Itabidi tuanze kuwataja sasa. Siku yako inaendeleaje Myoya?
HahahahahaUkija katika uzi huu jiandae kutandikwa risasi za likes. Tunakutegemea na wewe ujibu mapigo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]![]()