Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_2017-08-07-16-30-14.png
 
Aina mbalimbali za matunda mara nyingi huwa muhimu sana.Virutubisho vya pekee vyenye umuhimu ambayo ndani yake kuna matunda yanaongeza vitamin c.Takribani matunda yote yanahusisha kwa kiwango kikubwa umuhimu wa vitamin na mengine kabisa huwa na thamani ndani yake.
 
Matunda mengi yanaliwa mabichi kwa hiyo osha kwa makini na watoto au watu wazembe wanaosha kwa maji ya bomba tu na kisha ukata na kula, hii si salama , osha kwenye maji yaliyochemshwa vizuri ili kuua wadudu na kutoongeza wadudu pia wa majini kwenye bomba la maji .
 
Chemsha maji na osha matunda yako baada ya kutumbukizwa kwenye maji moto kiasi tu na kisha osha na ule, isipokuwa matunda yenye ganda gumu waweza kuosha kwa makini sana hata kwa maji yaliyochemshwa ya baridi tu kisha ukaondoa ganda na kula itakuwa salama.
 
Back
Top Bottom