moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hahahhaha watu wanasubiri NOAH zao hukuNajadili Makinikia bana na Wanaume wa Canada
Nipo mkuu ila ndio mda yangu ya kusepa
Mkuu tupo humu humu tunasubiri Noah za makinikiaPande zpii mkuu
walinzi ngoja tulisongeshe mkuuNipo mkuu ila ndio mda yangu ya kusepa
Broo kiukweli mimi ninapo Pata free time yaan Muda wangu Wote napoteza humu. It feels like HomeHatari mkuuu huu ukame hatari, huu mtandao wa simu naotumia nawanufaisha Sana vifurushi hata robo havitumiki hamna kademu hata kakusumbua
Mafinga ulipenda nyama?[emoji23][emoji23][emoji23]nimekaa mafinga for 3years na nilikuwa napenda nyama choma hakuna mfano kuna kipindi nawaza kama sijawahi kula iyo kitu aisee mana si kwakupenda nyama kule[emoji23][emoji23][emoji23]
Makinikia bora uwe makenikaMkuu tupo humu humu tunasubiri Noah za makinikia
tatizo updates za makinikia atupati tungeshajua kama noah zipo au azipoMkuu tupo humu humu tunasubiri Noah za makinikia