Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7.Jiweke teyari, hata kama utakua umekaa tuu nyumbani.

Labda umepanga siku yako kuwa ya Uvivu(Jambo ambalo ni poa pia kwa wakati mwingine), lakini ni vyema kujiandaa na kukaa sawa kwa ajili ya siku yako kwa ujumla hata kama hutotoka nyumbani siku nzima. Hii itakufanya kuuweka mwili wako sawa na hivyo kuwa full organized, jambo ambalo litakuweka poa siku nzima.
 
8.Anza Shughuli zako na Mungu wako.

Imani ni jambo la muhimu mno, Kila mmoja na imani yake, hivyo ni vyema kabla ya kuanza shughuli zako za kila siku ukanza na Mungu wako. Jambo hili litaluweka sawa kiroho hivyo hekima katika maisha yako itakua na wewe.
 
Hapo ndipo kuna watu wasipo kuona kwa masaa kadhaa huandamana...kumpenda wa chini zaidi kuliko uliye karibu nae juu haina faida kwako,bali kwa anaye pendwa.Utakacho ambulia mpendaji ni THAWABU..Mungu akupe moyo wa upendo zaidi.Asubuhi njema kwako
 
Hapa nisha fail kwakwel mana nimestuka tu simu iko mkononi[emoji2][emoji2]...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…