Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1360.jpg
 
Habari za asubuhi watu wa Mungu
Naiman kumekucha salama
Huku nilipo kumekucha salama kabisa
Tunapoamka asubuhi ya leo tusisahau kumshukuru Mungu kwa nafasi hii tena ya kuiona siku nyingine
Mana kuna wengi walitamani kuiona ila hawajafanikiwa
Niwatakie siku njema yenye mafanikio
 
Msibebe makwazo ya jana mnapoanza siku ya leo
Nakupenda na kukuheshimu sana shemeji. U binti wa kipekee sana kwa mtazamo wako, ucheshi wako, ubinadamu wako na simplicity yako. U mmoja wa watu ambao hunifanya nisikose katika uzi huu. Huwa navutiwa sana unapowachachafya akina KK na Mzee wa Tukuyu katika utani wa kirafiki na kindugu. U mtu mwema na binadamu wa aina yake. Mungu Azidi kukuongezea maarifa na hekima zaidi. Shemeji ASANTE SANA !!! ​
 
Back
Top Bottom