Daah!sijui nisemeje...kwanza nashukuru sana kwa baraka zako..pili kusikia kitu kama hii from a GT sijui hata nisemeje mana nakosa maneno...nikuombee tu Mungu akutelemshie baraka zake niendelee kujifunza toka kwako,busara na hekma zako...Nakupenda na kukuheshimu sana shemeji. U binti wa kipekee sana kwa mtazamo wako, ucheshi wako, ubinadamu wako na simplicity yako. U mmoja wa watu ambao hunifanya nisikose katika uzi huu. Huwa navutiwa sana unapowachachafya akina KK na Mzee wa Tukuyu katika utani wa kirafiki na kindugu. U mtu mwema na binadamu wa aina yake. Mungu Azidi kukuongezea maarifa na hekima zaidi. Shemeji ASANTE SANA !!!
Carba. Mi siyo GT. Mi ni mtu simpo tu hata ikitokea siku tukigongana Mbagala mkiwa na Cole utaishia kushangaa tu...Tuendelee kudumisha upendo na undungu uliotukutanisha hapa na kamwe tusije tukausahau ubinadamu wetu hata tusome na kutajirika namna gani !!!Daah!sijui nisemeje...kwanza nashukuru sana kwa baraka zako..pili kusikia kitu kama hii from a GT sijui hata nisemeje mana nakosa maneno...nikuombee tu Mungu akutelemshie baraka zake niendelee kujifunza toka kwako,busara na hekma zako...
Amina shemeji[emoji120][emoji120][emoji120]
Carba. Mi siyo GT. Mi ni mtu simpo tu hata ikitokea siku tukigongana Mbagala mkiwa na Cole utaishia kushangaa tu...Tuendelee kudumisha upendo na undungu uliotukutanisha hapa na kamwe tusije tukausahau ubinadamu wetu hata tusome na kutajirika namna gani !!!
Darkness cannot drive out darkness: only light can do that. Hate cannot drive out hate: only love can do that.