Kuna watu wanabania likes utadhan ni hela au chakulaYaani mkuu ungetaka ungeweza kuwa memba wa muhimu sana katika uzi huu. Shida yako unakuja hapa unapost tu halafu unasepa. Hutoi like hata moja...
Jisikie huru. Jumuika nasi. Toa likes kwa wenzako. Itafurahisha sana !!!
Najua ndio maana huwa nasalimia dunia nzima lakini napenda sana Afrika na TanzaniaMzee wa liver acha ubaguzi,
JF is an international forums with member from all over the world.
Na upendoAmani