Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Verse of the Day
Waebrania 8:6
Lakini Yesu amepewa huduma iliyo bora zaidi kuliko yao, kama vile lile agano ambalo yeye ni mpatanishi wake, lilivyo bora zaidi kuliko lile la zamani. Agano hili jipya limejengwa juu ya ahadi bora zaidi.

Commentary
Agano la Kale ni agano la kupendeza la upendo, kama Mungu anavyowaokoa wanadamu na kuanzisha mpango wake wa neema kutuleta kwa Yesu. Lakini kama nguvu kama ile agano la kale lilikuwa, tumekuja kwenye agano lingine lenye daraja ya juu kwa sababu mpatanishi wa agano jipya ni Yesu, ambaye ni dhabihu kamili na dhamana ya ahadi kubwa za Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mkuu ungetaka ungeweza kuwa memba wa muhimu sana katika uzi huu. Shida yako unakuja hapa unapost tu halafu unasepa. Hutoi like hata moja...

Jisikie huru. Jumuika nasi. Toa likes kwa wenzako. Itafurahisha sana !!!
 
ec6dc237128db408224db3db2ee81c38.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
3061f642a66010b07bf4fe323385dc9e.gif
 
Back
Top Bottom