Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

70ffb3f4eae4483428404935f044c750.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake.*

*1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke*
*2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake*
*3. Uwe na mwanamke anayekujali*
*4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati*
*5. Mwisho, hakikisha hawa wanawake wanne hawajuani.*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Zamani Tulikuwa Tunageuzwa Walinzi Bila Wenyewe Kujijua Ila Mungu Atatulipia Tu..*
*Tunacheza Kombolela Halafu Watu Woote Tunapatikana Ila Mdada Mkubwa Na Mkaka Mkubwa Hawaonekani Saa Zima Tunangoja Waje Kuokoa Hawaji.. Shenzi Kabisa Sijui Kwa Nini Sikushtukaga Mapema*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom