Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Verse of the Day
Waebrania 8:6
Lakini Yesu amepewa huduma iliyo bora zaidi kuliko yao, kama vile lile agano ambalo yeye ni mpatanishi wake, lilivyo bora zaidi kuliko lile la zamani. Agano hili jipya limejengwa juu ya ahadi bora zaidi.

Commentary
Agano la Kale ni agano la kupendeza la upendo, kama Mungu anavyowaokoa wanadamu na kuanzisha mpango wake wa neema kutuleta kwa Yesu. Lakini kama nguvu kama ile agano la kale lilikuwa, tumekuja kwenye agano lingine lenye daraja ya juu kwa sababu mpatanishi wa agano jipya ni Yesu, ambaye ni dhabihu kamili na dhamana ya ahadi kubwa za Mungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Njia 5 za kuishi kwa furaha na wanawake.*

*1. Uwe na mwanamke anayekufanya ucheke*
*2. Uwe na mwanamke anayekupa muda wake*
*3. Uwe na mwanamke anayekujali*
*4. Uwe na mwanamke anayekupenda kwa dhati*
*5. Mwisho, hakikisha hawa wanawake wanne hawajuani.*

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaa... Funny!
 
2cf659e15c5f2a6743eb64ee1d111b5c.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Whaaaaaat ????
 
*Tumshukuru Mungu tu hizi sehemu za mwili hazikopeshwi au kuazimwa..., kwa hali ilivyo ungeliwasikia hawa dada zetu "shoga yangu naomba uniazime hayo maziwa yako nikaringie kwa Patrick, nitakurudishia kesho jioni, si unajua yangu yamekwisha kulala*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom