Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Imechukua muda mrefu lakini hatimaye mamlaka ya udhibiti wa vyakula na madawa ya Marekani (FDA) imetoa mwongozo rasmi kuhusu mayai na kuthibitisha kuwa mayai yana faida nyingi za kiafya na hayasababishi ongezeko la lehemu mbaya (bad cholesterol) kama ilivyodhaniwa huko nyuma. Mwongozo huu umetolewa baada ya utafiti wa muda mrefu.
Safi,napenda mayai
 
Uwongooooooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
0f35ce7cecdd1cfdf69bd263f086b683.jpg
Uwongo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom