Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nzuri,za wewe?habari za asubuhi wapendwa??
Nzuri,za wewe?habari za asubuhi wapendwa??
Never everHata siku moja usijidanganye eti bila wewe maisha hayawezi kuendelea !!!![]()
WordHata siku moja usijidanganye eti bila wewe maisha hayawezi kuendelea !!!![]()
Kudilemba kunona muyangu, kendalinde mzobazinga SHIMBA YA BUYENZE na wote hapa Kijijini amani kwenu Rungune, aiiiiiiiii [emoji17] [emoji17].Ndugu yangu, hata kama giza nene la ufukara na umasikini limetanda maishani mwako, huoni mbele, nyuma, kulia, kushoto na kwingineko na umezama kwenye lindi la umasikini, leo nataka kuzungumza na nafsi yako, nataka kupandikiza mbegu tofauti kabisa akilini na moyoni mwako.
Hahahaha nasubiria ubuyu huuAsante mkuu. Ulienda Vingunguti/Tandika kwenye misambwanda ya ukweli ulikoelekezwa na Carba jana? Kama ulikwenda lete mrejesho please!
Ukiendelea hivi, nitakutimua bungeni muda si mrefu. Unavunja kanuni kuhusu lugha rasmi za bunge hili tukufu !!!Kudilemba kunona muyangu, kendalinde mzobazinga SHIMBA YA BUYENZE na wote hapa Kijijini amani kwenu Rungune, aiiiiiiiii [emoji17] [emoji17].
Kama hujaelewa subiri wakati wa kuwasilisha hoja binafsi hapa mjengoni.
Ngoja aamke aje atupe jibu mana jana alisema ataenda jumamosi[emoji2][emoji2][emoji2]Hahahaha nasubiria ubuyu huu