Likes
Mbunge wa Kiembesamaki umeanza vituko vyako. Lugha ngeni hii unategemea watu wakuelewe? Lugha rasmi ya bunge hili ni Kiswahili na Kiingereza tu. Ukitumia lugha nyingine toa tafsiri please!!!Lestorofio Gone misto Yegomasika lebrosonfito magreato demito [emoji16] [emoji16]
Kama hujanielewa subiri 2hrs
AmenHAKIKA Mungu ni mwema kwa kila kitu anachonitendea maishani mwangu. Ni wengi walitamani sana kuiona siku ya leo lakini kwa neema na fadhila zake wametangulia mbele ya haki. Jina lake lihimidiwe.
Safari ya maisha ni ndefu, ina kila aina ya adha, mabonde, miteremko, miinuko na milima mingi. Hakika ni safari inayohitaji ujasiri mkubwa kuikabili. Ni wale waliodhamiria kwa dhati tu ndiyo huikamilisha safari hii! Wengi wetu huishia njiani kwa kukata tamaa.