Habari za muda huu wanakijiji
Kweli..sambaza na likessambaza upendo
Aiseeh...nikiamka kwanza ni lazima nimshukuru Mungu then ndo niingie huku...kusali ni muhimu kwakweliHuu ni mtihani kwa wengi. Hapo mbele nilikuwa nasali kwanza kila nikiamka lakinu sasa ni simu kukimbilia kwenye likes. Itabidi nijirekebishe ASAP!!!
nidhamu, heshima, na upendo ndio ngao ya mafanikio yako
Alisema jumamosiAsante mkuu. Ulienda Vingunguti/Tandika kwenye misambwanda ya ukweli ulikoelekezwa na Carba jana? Kama ulikwenda lete mrejesho please!
Sent using Jamii Forums mobile app
Amenshukran Allah kwa siku mpya ya leo!
Kweli..sambaza na likes
Amen!!Aiseeh...nikiamka kwanza ni lazima nimshukuru Mungu then ndo niingie huku...kusali ni muhimu kwakweli
Kumekucha mkuu. Neema ya Mungu na ikatuelemee !!!Fanya kwa asilimia unazoweza mkuu ila usiache kufanya.
Hujambo lakini
Sana mkuu ..shukrani [emoji106]Happy birthday kiongozi, naona umezaliwa siku maridhawa kabisa
Amen!Kumekucha mkuu. Neema ya Mungu na ikatuelemee !!!