Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_3347.JPG
 
Katika upana wa somo hili, nitajaribu kugusia sehemu ndogo sana ambayo ni muhimu sana, namna ya kutatua matatizo kwa njia sahihi. Sikupi hatua za kutatua changamoto zako ila nitakuorodheshea mambo muhimu yakuyazingatia pindi unapo tatua tatizo lililopo mbele yako.
 
Kuwa na uelewa wa kutosha juu ya tatizo lako. (Hapa utaepuka kukuza athari za tatizo lako)
Pima ukubwa wa tatizo hilo kwa mtazamo hasi na chanya.
Lenga kutatua tatizo na sio kuondoa tatizo tu. (Hapa itakufanya usiharakishe katika maamuzi badala yake uwe na maamuzi ya uhakika)
 
Back
Top Bottom