[emoji188] [emoji188]ZIFAHAMU HATUA ZA KUPIKA UGALI
1 _ unaloweka nguo
2 _ unanyoa nywele
3_unawasha TV
4 _ unapiga simu
5 _ unapunguza sauti ya radio
6_unachanganya omo
7 _ unaanza kuimba
8_unasafisha meno
9_unakatia majani ng'ombe
10_unaweka siagi
Utakuwa umemaliza kupika ugali.
Kama hujaelewa, baki hivyo hivyo sio kila kitu uelewa.
Wale mnajua kupika kama mimi mnaweza kuongezea zingine hapo