moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Ndugu wakenya, makabila mliyonayo yapo ili muweze kutambuana tu. Kila kabila miongoni mwa makabila yenu lina watu wema na waovu pia. Makabila yenu yasiwe chanzo cha kuvuruga utaifa wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app