Ndugu wakenya, makabila mliyonayo yapo ili muweze kutambuana tu. Kila kabila miongoni mwa makabila yenu lina watu wema na waovu pia. Makabila yenu yasiwe chanzo cha kuvuruga utaifa wenu
Hapo awali el classico ni jina lililokua linatumika katika mechi ya Barcelona vs Real Madrid kwenye ligi kuu ya Hispania yani la liga,lakini hivi sasa hata wakikutana kwenye mechi ya kirafiki inaitwa el classico