mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
bro usimdanganye dada yetu.....Bila wewe siwezi kufanya haya
Likes na kazi kama kawaidaNini tena
she's sweetest!!!!!Your are so sweat
pamoja sanaMuwe na sikukuu njema
Likes na kazi kama kawaida
HahahahahaAhahahaaa! Huu uzi aiseee!
Sawa mkuu. Kwenye haya mambo ni kila mtu na lwake!Mimi bwa SHIMBA si mtu wa msambwanda, mi ni model tu, msambwanda tunafanyaga kideo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tunafurahisha baraza tu bageshi. Unajua uzi huu ni kama buffet tena ya kimataifa. Karibu kila unachokitaka kipo hapa. Tuendelee kuburudika na ikitokea tukakwazana basi tunasameheana na kusonga mbele. Ndiyo maisha!Hahaha kaka umeamua
Tunakupenda pia Mkerewe wetu uliyelowea Masaki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawapenda sana
Inaonekana uchaguzi wao umeendelea kwa amani. Ndicho tulichokuwa tukiomba!Msisahau mpende jirani yako kama maandiko yanavyosema
Majirani zetu kenya