mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMUN RA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rutashubanyuma hongera kwa Kujua
AMUN RA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Rutashubanyuma hongera kwa Kujua
Cole worldYou are Appreciated
Mother of Magic
Wapi tenaKwa jiran kuna ka ugomvi aisee
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Kakako kaamua kukufotoa [emoji3] [emoji3] [emoji3] cheeeeka[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahaha kaka umeamua
Mwaka 2000Shida hapa na historia Luis Figo kutoka barca kwenda Madrid
Historical transfer
Du mzee unakwenda na kipindibila shaka utakuwa unakaa mtaani kwetu, ngoja nimalizie huu ugomvi halafu unambie vizuri unakaa nyumba gani hapa kitaani
Hahahahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watakuwa wamefunzwa na wahindi wa tz[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
My Queen2:00
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSES are on my side forever
Hivi kati ya hizo ipi inafatiliwa duniani zaidi ya el classico?Ziko nyingi lakini western Siku zote wanavutia kwako
Zamalek vs National al ahyl
Bayern vs Borussia
Simba vs Yanga
Orando piretes vs Kaizer chiefs
Wewe ni vegetarian watu hawajuiView attachment 561130 View attachment 561129 Karibuni lunch 88
Yap
No 10 si rafiki kabisa
Indeed el classico si mchezoHivi kati ya hizo ipi inafatiliwa duniani zaidi ya el classico?
Halafu mara zote inakua na wachezaji vipenzi vya watu ukianzia kina de Lima,Beckham,zinane,ronaldiho na sasa messi na cr7