mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Walipigana vita Mara tatu tena ya hatari sana mpka walipokuja kukubaliana kuwa nchi mojaHapo awali el classico ni jina lililokua linatumika katika mechi ya Barcelona vs Real Madrid kwenye ligi kuu ya Hispania yani la liga,lakini hivi sasa hata wakikutana kwenye mechi ya kirafiki inaitwa el classico
Sent using Jamii Forums mobile app
Jezi ya barca ni bendera halisi ya Barcelona wanaieshimu sana