Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Unajua hakuna jambo zuri kama kumjua Mungu hapa duniani, Unaweza kuwa na Mali nyingi mno hapa dunia lakini bila Kumjua Mungu ni bure kabisa, utakosa mambo mengi ya muhimu mno kuliko mali ulizo nazo na Furaha ya kweli utaisikia kwa wegine huko barabarani.