TrueNimeamini kwenye hili kundi watu wote ni wapiganaji kweli
Unajua sprit ya mtu katika kutafuta ni sawa na kwenye likes unakomaa na unafanikiwa lakini utakuta mtu hata kubofya kitufe cha like anaona uvivu
Gr8 kwa kweliHabari za humu ndani?..
sent from iphone 7 using Jamii forum mobile app
Kichwa baby, mis you badlySleep well my princess[emoji7] [emoji8]
Yaap!Iko sawa
Hahaha kumbe ndio zako hizo za kumchuna andjul?Mimi walaaaa usiwe na wasiwasi hata nikimchuna hela ya naul nitamwachia[emoji23][emoji23][emoji23]
Nzuri sana. Karibu kwenye kiwanda cha kuzalisha likes tu
Kama kawa anza kutubandikia posts zako uone cha moto