mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nimeamini kwenye hili kundi watu wote ni wapiganaji kweliMaisha ni kukomaa. Bila kukomaa mambo hayaendi aisee. Uzi huu karibia unavunja rekodi zote hapa JF. Na hii yote hata miezi miwili haijaisha...
Unajua sprit ya mtu katika kutafuta ni sawa na kwenye likes unakomaa na unafanikiwa lakini utakuta mtu hata kubofya kitufe cha like anaona uvivu