AminaTunapoomba tuwaombee wagonjwa
AMUN RAMungu atufanyie wepesi siku ya leo
Kweli kabisa
Yap tuwaombee wamalize kwa amaniHivi kumbe leo ni siku ya uchaguzi Kenya
Yaani wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi wajua Kichwa Kichafu hajui kupika?atakuja fata hizi steps[emoji23][emoji23]ZIFAHAMU HATUA ZA KUPIKA UGALI
1 _ unaloweka nguo
2 _ unanyoa nywele
3_unawasha TV
4 _ unapiga simu
5 _ unapunguza sauti ya radio
6_unachanganya omo
7 _ unaanza kuimba
8_unasafisha meno
9_unakatia majani ng'ombe
10_unaweka siagi
Utakuwa umemaliza kupika ugali.
Kama hujaelewa, baki hivyo hivyo sio kila kitu uelewa.
Wale mnajua kupika kama mimi mnaweza kuongezea zingine hapo
HahahahahaMZEE WA MASAKI PUNGUZA WIVU
Basi wewe ni
Carba. Mi siyo GT. Mi ni mtu simpo tu hata ikitokea siku tukigongana Mbagala mkiwa na Cole utaishia kushangaa tu...Tuendelee kudumisha upendo na undungu uliotukutanisha hapa na kamwe tusije tukausahau ubinadamu wetu hata tusome na kutajirika namna gani !!!
Mpende kwa moyo mmojaJAKITOO NAKUPENDA KWA MOYO WANGU WOTE
HahahahahaANDJUL TOA MAHARI NG'OMBE 15 WALIOBAKI
Na kwako piaAsubuhi njema kwenu