PrincessAnne
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 1,875
- 2,229
HahahahahaHuwa kuna field hizo zinavuta kuangalia si za dunia hii kwa kweli[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Habari mkuu Tunapishana sana.Afya na Amani kwa wote Arusha and Kilimanjaro
Kwema Mkuu humu ndo nyumbani tutakapo dumu mpaka mwishoCole Wiliam, habari yako, mkuu endeleza mikakati uliyojipangia ndani ya uzi huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekupa like zangu zote ulizopost usichoke hata wasipo kupa wengine we post utapata tuHahahaha wajenge msingi haha
Hahahahaha
Ni kweli kabisa imagine kwa miezi Sita tu tutakuwa wapiWana karibu miaka miwili. Uzi huu haujafikisha hata miezi miwili. Hakuna hata haja ya kujilinganisha nao!
Hahaha
Wala sijalalamika.tulikua tunajadili ujumbe wa shimba,like napewa na kila mtu humh hakuna ubaguziNimekupa like zangu zote ulizopost usichoke hata wasipo kupa wengine we post utapata tu
CoLe
World
NakusalimiaAndjul eti ni kweli umeshaniacha?
Hahahahaha lika kitu unapata hapa
My Ndugu kichwa kichafuNingeshangaa kwakweli, maana ni kweli sina msambwanda wa kutisha ila ninako ka kuvalia nguo hahahah.
Inategemea muziki gani mchiriku vipiNot to that extent. Muziki ukipigwa mi sichagui wimbo kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji8] [emoji8] [emoji8]Jakitoo...This is for you babe.....![]()
Bro MANSA MUSSA na ISIS Ni ndugu kabisaMkuu umeomba ruhusa kwa Mzee wa Liver/Masaki? Subiri aje utaona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]