mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nakumbuka dying mins bonge la assistMario Baloteli ametoa assist moja tu katika historia ya kucheza epl ambayo ilizaa goli lililoipa ubingwa Manchester city mwaka 2012,goli likifungwa na Aguero dhidi ya QPR
Sent using Jamii Forums mobile app
Historical moment kwa Man city