Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

a13361fbfe9110bbfb25fda15152e760.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nmekuja na somo hili linalohusu Furaha ya kweli hivyo nikukaribishe mpenzi msomaji kuwa nami katika somo hili na kabla ya yote nikupatie mwongozo mzima wa somo hili:
Baada ya somo hili utajifunza vitu vifuatavyo:-
 
Maana kamili ya Furaha
Furaha ya kweli ni amani ya Moyo wako. Unajua wanadamu wengi tunashindwa kuelewa maana kamili ya neno Furaha, na matokeo yake tunaposhindwa kuipata Furaha hiyo tunaishia kutafuta furaha hiyo pasipo kuipata popote kumbe dawa ya tatito hiyo tunayo Mioyoni mwetu.
 
Kuna tofauti kubwa kati ya RAHA na FURAHA, raha ni Tukizo la mwili kutoka kwenye taabu na ifahamike kua raha hudumu kwa muda mchache angali Furaha hudumu Daima. Raha hutokana na Furaha.
 
Yapo mambo mengi ambayo kwa namna moja ama nyingine yanakuzuia kupata Furaha ya kweli maishani mwako na mbo hayo yanaweza kuwa yanasababishwa na WEWE mwenyewe ama MAZINGIRA yanayo kuzunguka na mabo hayo ni kama yafuatayo.
 
2.Kutokumjua Mungu.
Rafiki yangu kama mpaka leo Huamini kuwa Mungu yupo na kuamini kuwa yeye ndiye kila kitu katika kazi za mikono yako na maisha yako kwa ujumla basi umekwisha potea mazima.
 
Back
Top Bottom