The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Water melon
Kwa kweli my dearUzi mtamu sana huu
King leo la pulgaMessi ndiye mchezaji aliyefunga magoli mengi zaidi kwenye mechi ya el classico
Magoli 21,vile vile ndiye aliyepiga pasi nyingi za magoli,pasi 13
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafukua makaburi Eeeh!!Ushindi mkubwa kati ya real Madrid vs Barcelona
Real Madrid 11-1 Barcelona
Mwaka 1943 kwenye copa del rey
Sent using Jamii Forums mobile app