Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,938
Haa yamekuwa hayo tena, duhWamiliki wa vyombo vya usafiri Tanga vimebebeshwa watu uzinduzi wa bomba la mafuta bila kulipwa
Hahaha pole zaoWameambiwa huo ni mchango wao wa maendeleo ya mkoa wao