Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
[emoji817] [emoji817]Tunafurahisha baraza tu bageshi. Unajua uzi huu ni kama buffet tena ya kimataifa. Karibu kila unachokitaka kipo hapa. Tuendelee kuburudika na ikitokea tukakwazana basi tunasameheana na kusonga mbele. Ndiyo maisha!