[emoji817] [emoji817]Tunafurahisha baraza tu bageshi. Unajua uzi huu ni kama buffet tena ya kimataifa. Karibu kila unachokitaka kipo hapa. Tuendelee kuburudika na ikitokea tukakwazana basi tunasameheana na kusonga mbele. Ndiyo maisha!
[emoji817]Inaonekana uchaguzi wao umeendelea kwa amani. Ndicho tulichokuwa tukiomba!
Umenifanya nikaitafute huu msitari
Kupika kura
Hahahaha
Habari za jioniHabari za mchana
50-50Nimekuja kuwapa likes na kuchukua zangu