Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Komamanga(pomegranate) imerutubishwa katika nguvu ya kipekee,ina kalori 90 kwa kila gramu 90.Juisi ni moja wapo ya dawa ya matatizo ya kibofu na matatizo ya kuharisha kidogo.Kwa uzee wa watu inashangaza kwenye figo na kibofu, komamanga ni dawa ya kutia afya na nguvu.
 
Upande wa ndani ya tunda na pia mbegu zake zinaweza kuliwa bila kumenywa au kukatwa.Mbegu hizi zinahusisha 34 asilimia za proteins na 52 asiliimia ya mafuta.Mbegu zako ukizitafuna vizuri na kufyonza maji yake ni tiba ya maradhi mengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…