Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
We siuna mke lakini?Hata yeye hajui shughuli za KK??GeJo amepotea njia kwa kweli...Since day one nilimuambia njoo kwangu hakunijibu,kumbe moyo umemfia KK ambaye moyo wake ulishapotelea kwa wengine...
Kwakwakwakwa[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] mkuu chawa na kunguni???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli hapa ni sehemu ya burudani..
HahahahaSio kweli tengua kauli,nauza mihogo na maparachichi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jamaa hajielewi ipo siku ataishia kama kaka yake KKWe siuna mke lakini?
Msisitizo upi tena........!!!!?[emoji6] [emoji6][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda babe S ndiye atie msisitizo
[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]daah!sorryUna matatizo wewe,nyanya chungu...bamia...mimi mwanao wa kiume??? Muulize Cole
Kweli kabisaIla Watanzania tuna raha sana
Sent from my Huawei mate 9
Nikikamilisha upelelezi...[emoji6] [emoji6]Enhee...endelea
KK kapata kimwana mwingine anaitwa nani vileeee daah jina lake laanzia na J[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nicheke mie... KK huyu huyu!!!! Nasubiria jibu