Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Siyo lengo langu kukudhalilisha shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu mkoromije anaweza sababisha ukadhalilika kwa watu
Nifuraha tu shemejiShemeji vipi tena?
Mimi mzima kabisa bageshi. Wewe unaendeleaje? Naona hata Mpare wako leo kajitokeza tena anasema ana ng'ombe wawili wamejifungua twende tukachukue mahari. Safi sana bageshi!Mzima weye!?
Sio huyo uliemtaja kuna mwingineNani Jakotoo, inamaana ana wadouble disha na Gejo
Basi tuendelee kufurahi...Nifuraha tu shemeji