Poa tu nambie habar ya kupotea leoSijambo carbamazepine wa kidesign.
Mambo? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji106][emoji106]Whaat a goal nice shoot lukaku
Imebidi nije nikutake radhi kwakweli...mana nahisi utani wa leo ulipitiliza samahani sana kwa ile ishu ya bamia sikumaanisha yaliyoongelewa kwa maana iliyoongelewa...samahani sana kama ulikwazikaUsiugeuze,utauumiza bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]