Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1401.jpg

My airline of choice!
 
Kanuni ya tano na mwisho kwa leo ni kutambua wakati sahihi wa kubadilisha mswaki wako. Mswaki hupoteza ubora wake kadri uutumiavyo hivyo kustahili kubadilishwa. Kila mtengenezaji anapaswa kuandika mswaki unaoununua unastahili kutumika kwa muda gani…
 
ingawa hufanya hivyo ila wengi hatuzingatii kusoma maelekezo yaliyomo. Lakini ipo kanuni ya jumla. Unatakiwa kuhakikisha unatumia mswaki mpya kila baada ya miezi matatu mpaka minne. Ni vyema kama utafanya hivyo chini ya muda huo au pale utakapoona umeanza kuharibika.
 
Back
Top Bottom