Ndiyo maana huwa tunatupia namba ili zisomekeHahahahaha wacha waisome namba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilichelewa akawa anamsalimia tu
Karibu tugonge likesHello my old friends.
Medium
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maonyesho ya kitaifaHahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] imebidi nicheke kwa nguvu.
Mkuu Mara nyingi utata huwa unajitokeza wakati wa kukusanya hatimaye kutangaza matokeo. Tusubiri wakati huo tuone watakavyo yapokea matokeo. tafrani huwa zinaanzia hapoSafari hii Wakenya safi sana. Labda waje waharibu kwenye kukubali matokeo !!!
Mkuu sijaona likesKuna watu wabaili wa kutoa likes, yani Kama wanatumia pen vile! kumbe vidole tu!