Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nini mbaya???
99d509e822402619500876adac961557.jpg

Chagua hapo
Hapana hainifai
 
mafuta yanayopatikana kwenye majani yanatumika kama kigezo cha radha na kwa sehemu ya matumizi halisi ya maumivu ya baridi.Unatumika zaidi kama ponyo la homa ya tumbo na pia una sifa ya kuondoa uhalisi wa kiini na ukungu.
 
Sio ya bahari tu Mimi hata ya bomba ukiweka chumvi sinywii[emoji4] [emoji5] [emoji5]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yes. Principle ni ile ile. Nimetumia ya baharini kwa sababu mabaharia huwa wanakufa kwa kiu wakati wamezungukwa na maji, na watu wengine huwa wanashangaa. Kumbe ukiyanywa actually unakufa mapema kuliko wenzio waliovumilia....
 
Wanamkumbuka Mr Dhaifu, Mkwere, Vasco da Gama, mpole, mtu wa kuchekacheka tu, mlea mafisadi...Walimuita kila aina ya majina...

Ndiyo maisha hayo I guess. Sometimes you don't know the value of what you have until it is taken away. Na kwenye siasa ndiyo kabisaaaa.
Wakubali mabadiliko kila zama na nabii wake
 
mafuta yanayopatikana kwenye majani yanatumika kama kigezo cha radha na kwa sehemu ya matumizi halisi ya maumivu ya baridi.Unatumika zaidi kama ponyo la homa ya tumbo na pia una sifa ya kuondoa uhalisi wa kiini na ukungu.
 
Siyo lengo langu kukudhalilisha shemeji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha,ilifika mazingira sio rafiki.Hata hivyo nimejifunza,sitaingia humu kama nitakuwa mazingira ambayo si ya kujiachia(sijui kama nitaweza)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kikohozi:Andaa chai yenye nusu kijiko cha tangawizi,robo kijiko cha mdarasini na karafuu moja kwa kila kikombe cha maji.Changanya na kijiko kimoja cha asali kisha kunywa kila siku mpaka upone
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjomba umempata?
 
Back
Top Bottom