Kidogo nikolapsi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha...naona mshtuko...
Asante kwa kutoa ruksa.....wawiliwawili ila wafike idadi...[emoji4][emoji4]Yeah. Hata kama ni wawili wawili hivyo hivyo tutafika tu. He is serious. Nyote nawatakia kila la heri!
Hahahahaha.....Mzee wa kuuza Bamia
[emoji3] [emoji3] najua bwana hujanielewa tuHata yeye hajui shughuli za KK??GeJo amepotea njia kwa kweli...Since day one nilimuambia njoo kwangu hakunijibu,kumbe moyo umemfia KK ambaye moyo wake ulishapotelea kwa wengine...
Akikujibu usisite...Kwan wanaundugu na KK nauliza tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Shemeji bana dah !!!Mmekutana sasa... Atapitia mlango upi kumfikia Jakitoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nacheka kikoromije...
Wapo wengi shemeji. Nature imetupendelea sana !!!Unakaribia kuibiwa bint