Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
F439
Ni kweli. Huyu naye ataondoka atakuja mwingine; na malalamiko yataendelea.Wakubali mabadiliko kila zama na nabii wake
Hahahahaha.....watu wanataka kuleta masikhara.....[emoji16][emoji16]Kidogo nikolapsi kabisa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitalifanyia kazi hiliMifupa na Meno:kama haya matunda yalivyo mazuri zaidi kwa kuongeza vitamin C,yanafanya kazi vizuri hasa kwa ugonjwa wa mifupa na meno.Kwa kutoa kiwango kikubwa cha juice ya machungwa husaidia kuzuia kung’oka meno ovyo.Kwa kawaida kula matunda ya machunwa pia husaidia katika kutibu ugonjwa wa arthritis.
Tunajua sana shemeji. Ni haraka tu ya kuchapia hapa.Hivi wasukuma mnajua kujifungua inatumika kwa binadamu tuu. Kuzaa ni kwa wanyama