HahahahahaAcha fix mkuu. Kama ni hivyo mbona wewe unapost tu na kusepa bila kutoa likes hata moja kwa ye yote hapa? Hiyo treat others as you want to be treated inatoka wapi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Picha gani? Ile katuni mwanamke akilalamika kuwa mwanaume mashine? Pole sana!Picha,ilifika mazingira sio rafiki.Hata hivyo nimejifunza,sitaingia humu kama nitakuwa mazingira ambayo si ya kujiachia(sijui kama nitaweza)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yes bageshi. Tena nikija kuwachukua nitajifunza na ufugaji kabisa kabisa....Asante kwa kutoa ruksa.....wawiliwawili ila wafike idadi...[emoji4][emoji4]