Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukweli ni kwamba, maendeleo ya teknolojia ya tiba yamefanya matibabu ya jino kuanzia kwenye mzizi kuwa rafiki na rahisi, tena hayana sifa yoyote ya maumivu makali kupindukia kama ambavyo watu wengi wanaamini. Tiba hii ni moja ya tiba rafiki sana kwenye ulimwengu wa matibabu ya kinywa na meno.
 
9- Badili mswaki mara kwa mara

Umri wa miswaki tunayotumia unapaswa kuwa miezi mitatu (siku 90), baada ya muda huu ufanisi wa mswaki hupotea. Ikiwa unasumbuliwa na magonjwa ya fizi unashauriwa kubadili mswaki kila baada ya majuma manne hadi sita (wiki 4 – 6),
 
IMG_1398.jpg
 
kupiga mswaki walau mara mbili kwa siku (asubuhi baada ya kupata kifungua kinywa na usiku kabla ya kulala), kutumia nyuzi-safishi, ulaji wa chakula bora chenye virutubisho ni vigezo muhimu sana vya kuwa na afya njema ya kinywa na meno, sasa ugumu upo wapi?
 
Back
Top Bottom