mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kwa akili za huyu jamaaTrump says North Korea will be met with 'fire and fury' if it threatens US
Black Mamba nyoka hatari sana
"Kila nafsi itaonja kifo" hivyo tusisumbuke sana, lolote laweza tokea kwa yeyote, wakati wowote. tumshukuru Mwenyezi mungu kwa kila neema atakayotujaaliaYaan hata mm naomba isiwe kweli, maana dah. Kule napo hadi mida hii bado id ya marehem haijajulikana.
Hahhahaah ndio maanaJitahidi kusoma,usije uka like kumbe lijamaa linaungurumia Masaki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mpira una matokeo ya kikatili sanaHapo ndio nashindwaga kuangalia mpira
Nakusalimia nsamakaNipo aisee turudishie na joseret naona anatafutwa sana.
Hahahahaha du
Sent from my Huawei mate 9
Numbisa hii ni kweli kabisa ulaji wa samaki kwa wingi kwa wa mama wajazito inasababisha kupata watoto magenuis usipimeWajawazito wanapaswa kula samaki kwa wingi ili kukuza ubongo wa mtoto, pia ni lazima wale nyama nyekundu ili kuongeza damu kwa uharaka mwilini ila tunawashauri isizidi nusu kilo kwa siku saba,” anasema Materu na kufafanua umuhimu wa Omega 3 kwa wajawazito.