moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Na bahati mbaya sana sijui kama Tanzania bado inao watunzi kama nyakati za nyuma kidogo ilivyokua akina Elvis Musiba, Faraj Katalambula, Hamie Rajab, Ben Mtobwa na magwiji kadhaa wa kadhaa.Huenda huwezi kabisa kusoma kitabu na kama unasoma labda kwa nadra sana. Matokeo yake, hapana shaka unakosa hazina kubwa ya maarifa.
Sent using Jamii Forums mobile app