Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mimi imeniacha salama kwakweli,sina mapenzi nao hata nijilazimishe vipi siweziUnakosa raha za maisha kwenye soka. Burudani ya soka haijawahi kutuacha salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Poleni sana mashabiki wa mpiraKwa ule mchezo wa jana timu za England zina safari ndefu kuwa kwenye meza moja na za Spain
Yegomasika, habari yako mtalaam wa pichaAsubuhi na Jumatano njema!
Ujumbe murua kabisa. Katika kusoma tusiishie kusoma udaku magazetini na mitandaoni. Tujisomee sana vitabu, magazeti na majarida2.Kusoma hutupatia elimu, taarifa na burudani
Nakumbuka katika miaka ya themanini na tisini nchini Tanzania watu waliokuwa wakisoma vitabu na magazeti walikuwa ni maofisa na wasomi. Siku hizi watu wengi wa aina mbalimbali kama vile wamachinga, walinzi, maman’tilie, wahudumu, madereva, makuli na hata kinamama wa nyumbani wanasoma sana magazeti
Ujumbe murua kabisa. Katika kusoma tusiishie kusoma udaku magazetini na mitandaoni. Tujisomee sana vitabu, magazeti na majarida
Sent using Jamii Forums mobile app
SahihiKusoma ni burudani iliyo tofauti na aina nyingine za burudani kwa kuwa haina gharama kubwa. Mtu akitumia muda wake wa mapumziko kwa kusoma magazeti, riwaya na tamthilia anapata kiburudisho kinachomwongezea furaha katika maisha yake.
Ni sahihiLicha ya burudani, kusoma humpatia maarifa na habari nyingi muhimu kama vile historia ya maendeleo ya binadamu katika uvumbuzi wa vitu mbalimbali kama vile gari, ndege, televisheni, simu na vitu vinginevyo muhimu.