Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Njia moja kuu ya kila mtu kuhakikisha hapitwi na maendeleo haya ni kujipatia elimu na maarifa kwa kusoma, vitabu, majarida na magazeti. Mbinu nyingine ni kutumi zana za kielektroniki ambazo ni pamoja na televisheni, video na aina nyingine za mitandao ya mawasiliano.
 
2.Kusoma hutupatia elimu, taarifa na burudani

Nakumbuka katika miaka ya themanini na tisini nchini Tanzania watu waliokuwa wakisoma vitabu na magazeti walikuwa ni maofisa na wasomi. Siku hizi watu wengi wa aina mbalimbali kama vile wamachinga, walinzi, maman’tilie, wahudumu, madereva, makuli na hata kinamama wa nyumbani wanasoma sana magazeti
 
Kusoma ni burudani iliyo tofauti na aina nyingine za burudani kwa kuwa haina gharama kubwa. Mtu akitumia muda wake wa mapumziko kwa kusoma magazeti, riwaya na tamthilia anapata kiburudisho kinachomwongezea furaha katika maisha yake.
 
The elephant’s gestation period is 22 months – longer than any other land animal in the world. A new born human baby weighs an average of 7 pounds while a new born elephant baby can weigh up to 260 pounds! The baby can stand up shortly after being born
 
Licha ya burudani, kusoma humpatia maarifa na habari nyingi muhimu kama vile historia ya maendeleo ya binadamu katika uvumbuzi wa vitu mbalimbali kama vile gari, ndege, televisheni, simu na vitu vinginevyo muhimu.
 
Mambo hayo ni kama kujihisi kama ametua kwenye mwezi anaposoma habari za mwanaanga aliyekwenda mwezini, kujihisi kama anasafiri jangwani akiwa juu ya mgongo wa ngamia au kujihisi kama yuko kwenye kisiwa fulani katika bahari pana ya Hindi.
 
The oldest known elephant in the world lived for 86 years (1917 – 2003). The average lifespan of an elephant is from 50 to 70 years. The largest known elephant was shot in Angola in 1956 and weighed about 24 000 pounds! It had a shoulder height of 3.96 metres
 
Jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa katika ulimwengu wa maandishi kuna kitabu, jarida au mtandao kwa kila jambo ambalo mtu anaweza kutarajia kusoma habari zake. Hata hivyo, faida hii haipatikani kwa mtu ambaye uwezo wake wa kusoma ni mdogo na wala hana ari ya kusoma.
 
3.Kusoma hukufanya uwe mtu bora

Kwa hakika kusoma kunaweza kukufanya uwe mtu bora hata kuliko ulivyowahi kuwaza au kufikiria. Kusoma hukuongeza haiba yako kwa kukufanya uwe mtambuzi wa mambo mbalimbali, mchangamfu, mjanja kimaisha, mtu unayependeza na mwenye mvuto kwa watu.
 
Back
Top Bottom