Kuna kitu nimemiss hapa jana
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahhahaah ndio maana
Niliacha Jana nimeamua Leo nipitie na kulike
Usifukue makaburi acha tu ya jana yapite[emoji23][emoji23][emoji23]waweza pata presha etKuna kitu nimemiss hapa jana
Aisee nilikuwa sijui hili
Mwambie aache kusoma ya jana hayo yashakua makaburi[emoji23][emoji23]akutane na comment ya jibaba ikisema lilishinda masaki[emoji23][emoji23][emoji23]