Ambiele Kiviele, tunakutamani sana hapa ili kuongeza uzito wa uzi huu. mkuu fanya kitu furani kidogo sana hapa ili tuende sawa
Roman makanisa mengi sasa hivi wanatoa sana haya matangazoNimelipenda hili kanisa !!!![]()
Hahahahaha
Bandiko kama hili nimeliona chang'ombe pale kanisa la roma...ibada lazima iheshimiwe bhanaRoman makanisa mengi sasa hivi wanatoa sana haya matangazo
Ni kweli unakwenda kwenye ibada kama unakwenda disco
Akili zake za kubwatuka tu, Kiduku katulia tuliii anatest zana zake tu, asiyekubali anayoyafanya asogee eneo lake aone moto wake. Waswahili husema "Simba mwenda pole...."Kwa akili za huyu jamaa
Mapanki aangalie